Khaligraph Jones - Hao Ft. Masauti (Lyrics)

Khaligraph Jones - Hao Ft. Masauti (Lyrics)

You’re here: Khaligraph Jones - Hao Ft. Masauti (Lyrics). Are you looking for where to get Khaligraph Jones Ft. Masauti Hao Lyrics? do you want to get the current lyrics of Khaligraph Jones songs? where can I get Khaligraph Jones Ft. Masauti Hao Lyrics for free?
Khaligraph Jones - Hao Ft. Masauti (Lyrics)
Intro: Yeah, you gotta love it
Eyo whats happening not (Hao)
OG (Hao) Masauti Kenyan Boy (Hao)
Whats good? (Hao)
Masauti Chorus: Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Khaligraph Jones:
Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Yeah), Ku appologise ia watu haujakosea (Preach), Ka we ni msofti utasema wanakuonea (Why?), Ka we ni mjanja utabidi umezoea (Now), Watakutusi ndio u-catch na wacheke,Wakishakutusi mara that, hao wasepe, Udaku inapigwa na kasheshe, Ukianguka kwa sakafu unapigangwa mateke, Kukua celebrity gharama (Gharama), Ju wakishakujua ni lawama (Lawama), Bahati akianza alikuwa mtoto wa mama, Sai Twitter mmegeuziwa ye ni mtoto wa Diana, Hakuna huruma siri ni kulenga tu (Kulenga tu), Coz if it ain't don't kill you then inakujenga tu, Na bado kuna fans wanakupenda tu, But bado usijali hivo ndo vile kuenda boo, Si nyi hu-troll Simple Boy ka kila siku, But Kipchoge akivaa the same mnamsifu, Inauma kupambana na hizi issues, But brathe usijali we zoea hizi vitu 
Masauti Chorus: Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)

 Khaligraph Jones:

Kukuwa celebrity Kenya ni kujitolea (Why?), Your downfall ndo mbogi huwanga inangojea. Leo watakuchocha vile uko juu unapepea, But kesho ka shetani watakukemea (Riswa), 
Remember Esther Arunga na huzzy yake Hellon?, It's so sad wamefungwa ju sai ni ma felon, Walitrend tukawacheka when they needed help (Why?), Tukaangalia when they busy destroying themselves, Ni poa tuweke imani kwa Yesu, Woi Jimmy Gait si ye huona siku mrefu, Tumemtroll bila kujiuliza question, Like what if that nigga fell in depression?, 
Papa Denis alidedi tukamchangishia, Tuka-type RIP tukimpandisia, Ati tuko sad na tunajua vile alikapitia, We tu ni ku-troll ni ka haujui kitu inaeza kufanyikia, 
Mulamwa ameshachoka amedai zii, Ju ya matusi toka Twitter mpaka IG, Mi ni gangsta mkinitroll haiwasaidii (Kwenda!), Buda OG huwa zogo shinda 5G (Staki!), 
Mmefanya mpaka Pozee amewacha injili (Hahhaha), Ameacha kuimba mangoma za Holy Spirit, Ju mnapenda ongeza chumvi pia na pilipili, 10 over 10 hamtaki sai mnatusi Willis, As if mmekuwa forced kutazama, Nyi ni fans in denial so of-course mnajifanya, 
Kukuwa celebrity kuwa ready for drama, Omba God akubless na self-esteem ya pastor Ng'ang'a, Na confidence ya Orie Rogo Manduli, Na will-power ya John Pombe Magufuli, And though wengi watasema ni kiburi, But that's the only way utawezana na hawa mabully.
Masauti Chorus: Wanaona mwangaza
Ila hawajui nyuma yetu kiza kinene
Lakini tunapambana
Ila mziki majanga lazima tu wanene
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)
Wanajifanya wanapenda (Hao)
Ila wanadidimiza (Hao)

Outthrow: Watakushow ati hauwezi fika mbali (Hao)
But ni wivu tu jo wamejaa makali (Hao)
Comment section wamejazana upuzi (Hao)
Lakini DMs same haters bado groupies (Hao)
Ukikafunga hivi waskiangi fiti (Hao)
Wanatamani kuishi maisha we unaishi (Hao)
So hata waki-hate haina ngori uko mbele (Hao)
Get a life nigga punguza kelele (Hao)

I hope you found the lyrics Khaligraph Jones - Hao Ft. Masauti interesting? kindly comment below and share!

Post a Comment

0 Comments